Hymns and Prayers

TUNAOMBA UWEPO

1. Tunaomba Uwepo wako uende
nasi Ewe Bwana wa majeshi
tusikie Kama huendi nasi,
hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu enda nasi.

Tutavua mapambo yetu
Vitu vyote vya dhamani
Kwetu Mioyo yetu
twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi.

2. Tuwatu wa shingo ngumu
Tusamehe Hatufai mbele zako
Turehemu Tusafishe
eeh Baba, Tuonyeshe
uso wako Twahitaji
neema yako, enda nasi.

3. Tunaomba utuonyeshe njia
Zako Kwa maana umetuita
kwa jina lako Twalilia eeh
Bwana Utukufu na uso
Wako Bila wewe tutashindwa, enda nasi.

  • Hymn
  • 10,728 views